Lunch leo nataka nikupeleke sehemu ya ukweli...Nitakupitia twende zetu Joly...wana yama ya mbuzi ya ukweli.
Jion ndio utakula maziwa ya kuku!!
Naombeni mnifundishe neno zuri lakumwambia ili tushuke TINDE nipige mzigo mpaka bujee!!
Maana anazidisha dharau sasa,yani ananiambia mkojo umembana tukifika dom cha kwanza toilet?
Kwanini mkuu!mkuu hebu niambie anaupara kichwani??
Kwasababu waliotoka Moshi juzi wanaupara mkuu!
hahaah...basi twende zetu koko bichi tukale mihogo na Azam cola...kama nayo huwezi nikupeleke posta kwa mama Koku!!Hapo huwa wanaleta madaftari ya kujisomea menyu?
Mie nataka sehemu ambayo naambiwa kuna supu kuku, wali ng'ombe, ugali mbuzi choma.
Haya ya Marinated chicken breast nodules with butter naan siyataki.
Kwanini mkuu!
Demu mwenyewe kumbe mjeda na kabila lake ni "mzanaki wa butiama"
Sawa!jee ushamwambia mshuke tinde?
Kwani wajeda hawashukagi tinde?sasa sisi tutakusaidiaje kama wewe mwenyewe huwezi kujisaidia?Ntaanzia wapi mtu mwenyewe mjeda mkuu?
Labda aseme yeye!
hahahah...jamaa kanogewa!!
Mi na mke wa mtu mbali mbali kabisa...nikishaona tu pete ya ndoa basi system zote za umeme zinabuma!! Kitu kinasinyaa..
Ndio style gani hizo mkuu?poa mwana jf
kama anataka mwambie akupe ka kiisilamu.sio kakikrsto kama mweli anataka kukulalia kweli.
Ndio style gani hizo mkuu?
Maana naona kazidiwa na usingizi kweli na mimi huruma imeanza kuniingia!
Mkuu tafakari, chukua hatua. Kuna Jamaa tena mwenye hadhi kubwa tu katika jamii, aliingizwa matatani. Alienda na mke wa mtu hotelini, kumbe mume kapanga na mke wake jinsi ya kupata pesa. Baada ya kuingia ndania na mwenye mke kufahamu kuwa wako katika maandalizi ya mechi lakini hawajaanza, jamaa kagonga mlango na marafiki zake mabaunsa. Wakataka kumla Kiboga wakati wakichukua picha. Pesa yake ndio ilimuokoa. Sasa na wewe kuwa makini, huenda mume wa huyo msafiri mwenzio yuko humo anachora kila kitu. Watu wenyewe wa Musoma !!! Weeeee, kama utalala naye Mwanza, piga simu sasa hivi Bugando wakuwekee chumba cha kupumzika baada ya kupigwa mapanga usiku.
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?
Najuka kufungua hili jukwaa!