Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Mwache bwana hujui anachokitaka mkuu unaroho mbaya wewe ningekuwa mimi.Ningemwambia ngoja nitoe suruali ili zipu isimumize.
 
ebwana ningekuwa mimi ningekubali ili nione mwishowake ni nini. kama ni kulala tu its ok ila kama anataka kubembelezwa hapo ndio kasheshe. But majaribu hayana budi kutokea na inabidi uyasinde ila pia imeandikwa ole wake asababishaye majaribu.
 

Kama vipi mchomolee tu!
 
hahahah...jamaa kanogewa!!
Mi na mke wa mtu mbali mbali kabisa...nikishaona tu pete ya ndoa basi system zote za umeme zinabuma!! Kitu kinasinyaa..

kumbe huwa unakimbilia huku siyo ukishaona kule kwenye jukwaa la siasa kunawaka moto siyo unapenda mambo ya uzinzi kama yule kiongozi wenu wa Iramba
 
ila mke wa mtu bwana raha take sio wasumbufu,
hakuna kuzungushana.
 
Mr Rocky...Canta nishamlipia mahari kabisa!!!


Hahahahaha Mkuu safi sana kama umelipia mahari
Ila usije ukafanya kama ndo umemnunua moja kwa moja aise
ikawa ni kipigo kwa kwenda mbele aise
 
wandugu nimejaribu kumchimba huyu mtoto ndani zaidi kaniambia hii pete ya ndoa aliyovaa kaifanya kama defense kwa wanaume wakwale,so kwa kifupi yeye hajaolewa na yupo single,kapiga depo mwaka jana na ndio likizo ya kwanza anaenda hm.Kanikaribisha kwao weekend na amesema nisiwe na wasiwasi niwe free.
So leo itabidi nimkampani tukifika Mwanza then morning achape mwendo,nimeona sina haja ya kumkimbiza kuku wangu juani wakati jioni ataingia bandani!
Kwanza j,2 lazima nimuibukie,kwa leo ninae but itabidi nisimuonyeshee u-fisifisi wangu ila nisimpeperushe ndege wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…