Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
....ivi bado unaandika tu scripts hapa hujaanza "KUMDENGA"?..
Nyegezi hiyo Mwanza,hapa sasa hivi tunapata zetu sato na sima kisha nikamtafutie guest maeneo ya buzuruga,
Sasa anataka nimkampani mpaka morning,mie nadhani ngoja tuu nijitose nikamkampani,akilalamika baridi ntampa joto.
Mulize atapata likizo lini namimi nipande zuberi?
Likizo nyingine after three months mkuu!
Ngoja nimpeleke kwao musoma then tutawasiliana jioni when I come back.
I was busy all night that's why sikuwapa news yoyote,so I'm sorry niger!
Mulize atapata likizo lini namimi nipande zuberi?
Ngoja nitoke musoma ntafunguka mkuu!Kudadadeki kumbe umelala unamega, vp condom ulikumbuka lakini? na je hakuna iliyo pasuka?
Likizo nyingine after three months mkuu!
Ngoja nimpeleke kwao musoma then tutawasiliana jioni when I come back.
I was busy all night that's why sikuwapa news yoyote,so I'm sorry niger!
Ngoja nitoke musoma ntafunguka mkuu!
Maana kilichonileta Mwanza itabidi nikipotezee,bcoz naona huyu mtoto alizaliwa kwa ajiri yangu!
Ngoja nitoke musoma ntafunguka mkuu!
Maana kilichonileta Mwanza itabidi nikipotezee,bcoz naona huyu mtoto alizaliwa kwa ajiri yangu!
Ngoja nitoke musoma ntafunguka mkuu!Kudadadeki kumbe umelala unamega, vp condom ulikumbuka lakini? na je hakuna iliyo pasuka?
Ngoja nitoke musoma ntafunguka mkuu!
Maana kilichonileta Mwanza itabidi nikipotezee,bcoz naona huyu mtoto alizaliwa kwa ajiri yangu!
Sio udhaifu mkuu!Kwa hiyo mzazi umeamua umsindikize mwenyewe mpaka Msoma dah kweli wanaume dhaifu
Sio udhaifu mkuu!
Mi mwenyewe siamini kilichotokea.
Ni mautamu ya ajabu yani.
Nyie subilini kadi za mualiko according to our agreement.
Mkuu uko sawa na mimi aise
Mke wa mtu kitu ingine kabisa
Wala haina haja kuuliza uliza mara mbili unaachana nae mbali kabisa
Na inaelekea jamaa hapo katupa ndoano mpaka mwanamke anafikia kumwambia kuwa jana hakulala vyema na anaenda musoma na anafanya kazi wapi hayo yote yameanzia mbali
hapo jamaa kashatupa maneno yake hapa anaomba ushauri je amalizie au aache