Demu gani aliyeimba huu wimbo?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,227
Reaction score
98,761
"Mwanamme atakiwi kua na tashtiti au we mwenzao?,kama una njaa unaitaji upakuliwe!!"

Basata mpo wapi? Nimesikia sauti ya AT,ina maneno hilo hilo usinifuatilie!
 
Hii lugha ya watu wa pwani kwa kweli inachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…