Demu kajitambulisha kwa dada yake mahusiano yetu

Mayova

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2018
Posts
248
Reaction score
246
Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake .

Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji 😀😀.

Sasa nikawa najiuliza kwanini alimwambia dada yake ?
Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
 
Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake . Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji 😀😀. Sasa nikawa najiuliza kwann alimwambia dada yake ? Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
Kwani unataka dada ake?
 
Sasa nikawa najiuliza kwanini alimwambia dada yake ?
Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
NYAVU HIO KUA MAKINI
Screenshot_2026-08-06_010136.jpg
 
Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake . Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji 😀😀. Sasa nikawa najiuliza kwann alimwambia dada yake ? Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
Kama siri inahitaji zaidi ya mtu mmoja kuitunza, hiyo sio siri.
 
Ulitaka wasijue watu ili umpige na matukio Binti wawatu kajinga wew 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom