Kwani unataka dada ake?Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake . Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji ππ. Sasa nikawa najiuliza kwann alimwambia dada yake ? Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
NYAVU HIO KUA MAKINISasa nikawa najiuliza kwanini alimwambia dada yake ?
Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
Kama siri inahitaji zaidi ya mtu mmoja kuitunza, hiyo sio siri.Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake . Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji ππ. Sasa nikawa najiuliza kwann alimwambia dada yake ? Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae
Mbona wewe umekuja kuyamwaga hapa au sisi sio watunlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae