Demu kanibania malove-davi!

Demu kanibania malove-davi!

ok, friend its a lyf challenge! gud9t!
 
Wewe ni mkatili sana...kama unaweza ukafikiria kubaka then duuuh! Wewe ni hatari zaidi ya Kipindupindu..kwani ukimchana black n white kwamba hutaki serious r-ship itakuaje...????...#Kumla kinguvu...worst idea bro!
 
Akili low. . . . recharge kama unaweza.

ha ha ha, umenyima ucngz! ingekua jf doctor,law,siasa,education nngeku-salute, bt mmu! ata mmoja hamnazo! ngoja nirudi kwangu kule kwenye siasa! siwezi tembea na nyinyi vyupi vichwani! ha ha ha ha ha! no nertwork at all thz area!
 
Stupidity at its best.
 
Eti wajameni kakosea au mimi ndio nimeshindwa kusoma kingereza??!!

st kayumba inakusumbua sana ndugu jaribu kupiga ata english course although una bachelor!
 
Stupidity at its best.

nauliza tena kwa kishwahili wewe ni muhariri wa jamii forum? maana najua lugha ilikukwepa pale mwanzon nlivyouliza!
 
Problem is, Childish! Is just a minor silly ! Worthless material so far !
But "utaacha ukikua".
 
nauliza tena kwa kishwahili wewe ni muhariri wa jamii forum? maana najua lugha ilikukwepa pale mwanzon nlivyouliza!

Uzumbukuku mwingine bwana.
Kwahiyo wewe ukisoma Kipipi unaona Lizzy?
 
Back
Top Bottom