Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 Feb 9, 2016 #1 Wakiwa bar wanasubiri mhudumu, Jamaa akamuuliza demu wake, "Baby unatumia Facebook?" Demu kujifanya na yeye ni wa mjini kwa maringo na pozi kibaoo akajibu, "Ndio natumia ila isiwe ya baridi sana." Tehe tehe tehe hii imetokea leo leo!
Wakiwa bar wanasubiri mhudumu, Jamaa akamuuliza demu wake, "Baby unatumia Facebook?" Demu kujifanya na yeye ni wa mjini kwa maringo na pozi kibaoo akajibu, "Ndio natumia ila isiwe ya baridi sana." Tehe tehe tehe hii imetokea leo leo!
ram ismail Member Joined Jul 23, 2015 Posts 28 Reaction score 6 Feb 16, 2016 #3 na whats app je? hyo natumiaga na chumvi kwa mbaaaali......