Demu kutoka shamba.

Demu kutoka shamba.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Wakiwa bar wanasubiri mhudumu, Jamaa
akamuuliza demu wake, "Baby unatumia Facebook?" Demu kujifanya na yeye ni wa mjini kwa maringo na pozi kibaoo akajibu, "Ndio natumia ila isiwe ya baridi sana."

Tehe tehe tehe hii imetokea leo leo!
 
Back
Top Bottom