Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia oh, nataka nimwoe 'demu' wangu, mara oh naenda kulala kwa 'demu' wangu, mara 'demu' wangu anazingua, mara 'demu' wangu anataka pesa, hivi huyu 'demu' ni nani? Nini maana yake? Nini asili ya neno hilo? Hapa jamvini kuna 'mademu'? Nifafanulie!
Maana yake mbuzi jike
kiswahili fasaha demu ni kitambaa ambacho mwanamke amekitumia wakati wa hedhi.
Maana yake mbuzi jike
HAITOKANI NA Madam?