demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

yani inaonekena kabisa uchu umekubana na hivi ambavyo hujawah kuambiwa!
 
MSATULAMBALI...Mi nakupenda sana ujue tangu nikuone kwa kakaako sema tu niliogopa kwakuwa sa hizi yupo job please say yes to me ...mi kaka ko hata hajawahi niona so shaka ondoa...yaaan nakupenda hadi nahisi kudata pls dont say no...im half cast..i will pay for the hotel room
 
Nakuonea huruma sijui nikwambie? ivi hata kama asingekua mwanamke wa kaka yako sema warafiki yako unaweza kufanya hivyo? au ingekua wewe unafanyiwa hivyo ungependa? ebu kua muungwana usichopenda mtu akufanyie usimfanyie mwenzio..
 
Achana nae itakuwje uchangie mwanamke na kaka yako ? binti kicheche
 
mimi naweza kukusaidia, nipe namba ya huyo demu mimi ntakusaidia lakufanya usijali tupo pamoja mkuu
 
be prepared kuingia kwenye mtandao wa watu wengi usiowajua........Jali afya yako jirinde na ukimwi upo na unaua kwa kasi
 
You already have an activator "demu mnyarwanda". Based on your decision, a CHAIN REACTION will start once you share the Bich with your brother. Km unataka kufa na ufe na kaka yako!
 
Oya dogooo...nigee namba ya huyo kicheche nichape kisha umwambie broo wako kuwa kuna jamaa mmoja yupo dar anachapa then broda wako atamwaga kisha mie nakuachia uchape na mie namwaga unakuwa hujanunua beef kwa broda wako unakuwa umenichapia demu wangu....imekaaje hiyo?
 
Inaonyesha tayari una nia, sababu na uwezo wa kuwa nae. Huu ushauri unaotolewa hapa sijui kama utabadilisha mawazo yako. Fanya vile inavyokupendeza wewe, kama ilivyompendeza brother wako..!!
 
We mtafune huyo
Raha kula na nduguyo we ukisusa mijitu mingine itafaidi si bora ufaidi wewe
 
We acha hizo mkuu,usimzingizie,wanaume wengi wao ndo wanatongoza halafu wanasingizia wanatongozwa,sema unajifanya kama ndo unapendwa sana,amefikaji mpaka kukuambia hivi bila wewe kumwambia chochote...we sema nimetongoza na umefanikiwa
 
Back
Top Bottom