Sio lazima. Pia hutaweza kusoma posts za watu wengine unless, wenyewe wameamua kufanya posts na comments zao zisomwe na watu wote regardless of whther they are friends or not. According to Facebook, it helps you to connect and share with the people in your life. Cha maana hapo ni "people in your life". Kwa hiyo ukikutana na mtu ambaye ni moja ya "people in your life" then may you can decide to ad them. Who are "people in your life" inatofautiana kwa mtu na mtu.
Lakini pia Facebook huwa kuna discussions nzuri tuu hasa kwenye politics. Tena watu wanasema kwa kutumia majina yao halisi bila kuficha. Kama wewe ni mtu wa woga woga then, then utaishia kusoma tuu michango ya wengine bila kuchangia, which not good, especially if you treat them as "people in your life". Pia wapo wanaotafuta wachumba. Mimi Facebook imenisaidia kukutana na old friends ambao sikutegemea kama nitakutana nao tena maishani mwangu. Kwa hiyo, itategemea what exactly do you want.
Ikishindikana nenda Google Plus. Wameanzisha social network ambayo ni tofauti kidogo na facebook. Wao wana kitu kinaitwa Circles. Unawa group watu kwenye circles, kama relatives, friends, etc. Uzuri wake, ukipost na uki comment kwenye friends, relatives hawataona and vice versa. Kwa hiyo ukiona kama kuna watu ambao ni wazushi unawatengenea circle yao. I like the idea.