ujinga unaoniudhi kwenye facebook ni pale mtu anapoandika kila anachofanya! utaona mtu kaandika, its breackfast time basi atapiga picha hako ka chai kake ka asubuhi ana post huko. mchana akienda kula tu chipsi anaweka picha, wikiendi akitoka anaweka picha yaani utadhani upo kwenye blog ya u turn! mashauzi tuuuuu argh jf raha saaaaaaaaaaana huku.