Demu wa fesibook

Demu wa fesibook

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Mara nikaona facebook messenger....ngrrrrriiiiiiii imeingia text,dah huwaga nadata sana nikipata text huko kwa sababu mara nyingi huwa ni mademu walielewa swag zangu kwenye maprofile picha na uploads zangu matata...

kusoma text,nikadata

demu:::kaka za leo,niseme tu ukweli moja kwa moja,nimevutiwa sana na pic zako naomba namba yako ya simu nikucheki watsap.

mimi:::074308439* nikajibu ivo kibabe,napenda mademu ila huwa staki onesha shobo.

WHATTSAP huko....mara

demu:dah nimefight sana kupata namba yako,pliz nimekupenda sana nataka tuwe pamoja kama wapenzi,unajuaga nilikuona kipindi nilikuja kwa shangazi yangu likizo hapo kota za polisi mbeya,mimi nakaa tukuyu huku mwakaleli nilikujaga hapo kusoma twisheni wakati niko form two,sahivi nimemaliza form six PCM nimesoma Sangu hapo,halafu nimaenda veta kusomea ufundi wa magari...nilikupenda sana,sahivi nataka unioe jamani

mimi::::fresh,nishakukumbuka..nitumie some hot pics basi mtoto mzuri...nazuga tu mi simjui wala nini,ni ile najua tu hapa napiga mzigo najikataa....

demu:::[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

mimi::::acha ufala wewe,unajijua mimi!???????....mi sitapeliki kijinga

nikazima simu nikaitumbukiza kwenye maji,sipendagi ujinga.
FB_IMG_1520501529286.jpg
 
Back
Top Bottom