Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
kwani msichana akikuambia twende sehemu flani lazima wewe ulipe.kumbe ndo maana nikiwaambia wakaka twende sehemu flani wanakimbia eeh.itabidi nifanye booking kwanza jamaninikweli kabisa kuna binti wa marangu aliniambia kwao ni wamaeneo ya msae nilikutana nae kwenye basi la dar express siku moja nikitokea arusha kuja jiji sasa baada ya kubadilishana namba siku ya pili kanaanza kuniambia naomba vocha ooh! Kunajambo muhimu nataka kulifanya ila nimekosa hela coz dady wangu kasafiri na hana mawasiliano naye so nikampa 50,000.00 the following week ananiambia why don't we go to bagamoyo this week weekend. Mmh! Nikafikiriaaaa nikasema au nikwavile nilimweleza kuwa nafanya kazi ofisi fulani nini?
Namshukuru mungu the follwing friday nilipata safari ya kwenda nairobi na ule ndo ukawa mwisho wa kuwasiliana naye.
So i support kwa 120% mademu wa kimarangu ni nooooma!