CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
tegemea kupata Dudu Jeusi kama jina lako.
Kuoa hapana,mie nataka mtoto tuu,na tayari ninao wengine wa4,but nataka kuwa na idadi kubwa ya wato ila mama zao wawe tofauti pengine kupitia hao watoto naweza pata ninachotegemea kukipata.DUDU JEUSI, Unanitia wasi wasi... Kama umeishi lets say miaka zaidi ya 13 unajihusisha kufanya mapenzi kweli hakuna binti hata mmoja kawahi hata kukusingizia kuwa ana mimba? Licha ya hivo sijui kama nakosea.. mbona unatumia nguvu sana kutafuta mtu wa kuzaa nae ambae naamini yupo hapo jirani yako? Ingekuwa unaoa walau ningeelewa...
Dah.Wewe hutaki gari . . . .????
Kuoa hapana,mie nataka
mtoto tuu,na tayari ninao wengine wa4,but nataka kuwa na idadi kubwa ya
wato ila mama zao wawe tofauti pengine kupitia hao watoto naweza pata
ninachotegemea kukipata.
Atakaa na mtoto kwa miaka 2 huku nikimpa huduma zote zinazo sitahiki,akisha muachisha namchukua na yeye tunaachana rasmi,ila ruksa kuja kumuona mtoto.Toyota Opa ndio itakuwa nyumba ya mtoto? baba wa mtoto? Chakula cha mtoto?
Mtoto ndio atakuwa petrol ya toyota opa? service, Road license na insurance?
Dadavua ueleweke Dudu
Kwa wewe BADILI TABIA sina aja ya kunizalia mtoto tuu,bali ntakuweka ndani jumla!hiyo opa utampa kadi au funguo?
Halafu opa itamsomeaha mtoto?
Itamlipia ada?
Itamlipia matibabu?
Itamlisha?
Itampa mapenzi ya mama?
Itamfundisha maadili mtoto?
Itajijaza mafuta?
Itajifanyia service?
Itamsaidia mama mtoto kupush?
Itamnyonyesha mtoto?
Mtoto akilia itambembeleza?
Mtoto akipata tatizo itamshauri?
Itacheka na mtoto pale atakapocheka na kulia na mtoto pale atakapolia......
Anyway utawapata tu humu.....
Hahaha!hahaha.Una sound kama una ka project fulani na hao watoto...
Mbona i smell a rat kwenye hii offer yako?? unasound kama mchawi hivi............... au muuza watu.............Atakaa na mtoto kwa miaka 2 huku nikimpa huduma zote zinazo sitahiki,akisha muachisha namchukua na yeye tunaachana rasmi,ila ruksa kuja kumuona mtoto.
Atakayenizalia mtoto wa kike ntampa offer fulani hivi ya ziada.
hahahahahaha!pls pita tu mkuu.Usinitafutie bani lol!Mbona i smell a rat kwenye hii offer yako?? unasound kama mchawi hivi............... au muuza watu.............
You are well come!yani wewe.....:eek2:
:alien::alien::alien: