Demu wa kuzaa nae nimpe Toyota OPA!

Demu wa kuzaa nae nimpe Toyota OPA!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Haya mabinti bahati yenu hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM.
SIFA
Asiwe mlevi.
Awe mrembo.
Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo mkataba wetu utaisha na atabeba kilichochake na kuondoka ntabaki kutoa pesa ya matumizi ya mtoto kwa miaka2 kisha anikabidhi mwanangu.
Awe anajua mapenzi.
Awe mkarimu kwa ndg zangu na marafiki.
Umri kuanzia 16-35yrs.
Awe tayari kupima H.I.V.
Sina ndoto za kumuoa,mie lengo langu ni kunipatia mtoto tuu basi.
Umri wangu ni 33yrs.
 
DUDU JEUSI, Unanitia wasi wasi... Kama umeishi lets say miaka zaidi ya 13 unajihusisha kufanya mapenzi kweli hakuna binti hata mmoja kawahi hata kukusingizia kuwa ana mimba? Licha ya hivo sijui kama nakosea.. mbona unatumia nguvu sana kutafuta mtu wa kuzaa nae ambae naamini yupo hapo jirani yako? Ingekuwa unaoa walau ningeelewa...
 
Last edited by a moderator:

Kuoa hapana,mie nataka mtoto tuu,na tayari ninao wengine wa4,but nataka kuwa na idadi kubwa ya wato ila mama zao wawe tofauti pengine kupitia hao watoto naweza pata ninachotegemea kukipata.
 
Last edited by a moderator:
Toyota Opa ndio itakuwa nyumba ya mtoto? baba wa mtoto? Chakula cha mtoto?

Mtoto ndio atakuwa petrol ya toyota opa? service, Road license na insurance?

Dadavua ueleweke Dudu
 
Palipo nichanganya ni hapa "Awe anajua mapenzi"

Mapenzi tena au ulitaka kusema awe anajua kushughulika...anayejua mapenzi hataweza masharti ya huu mkataba...ni materialistic tu ndo utakaowapata.
 
hiyo opa utampa kadi au funguo?

Halafu opa itamsomeaha mtoto?
Itamlipia ada?
Itamlipia matibabu?
Itamlisha?
Itampa mapenzi ya mama?
Itamfundisha maadili mtoto?
Itajijaza mafuta?
Itajifanyia service?
Itamsaidia mama mtoto kupush?
Itamnyonyesha mtoto?
Mtoto akilia itambembeleza?
Mtoto akipata tatizo itamshauri?
Itacheka na mtoto pale atakapocheka na kulia na mtoto pale atakapolia......

Anyway utawapata tu humu.....
 
Kuoa hapana,mie nataka
mtoto tuu,na tayari ninao wengine wa4,but nataka kuwa na idadi kubwa ya
wato ila mama zao wawe tofauti pengine kupitia hao watoto naweza pata
ninachotegemea kukipata.

Nenda kwenye vituo vya kulea watoto ukachague idadi unayotaka! Nani alikwambia wanawake ni mtambo wa kufyatulia watoto?
 
Toyota Opa ndio itakuwa nyumba ya mtoto? baba wa mtoto? Chakula cha mtoto?

Mtoto ndio atakuwa petrol ya toyota opa? service, Road license na insurance?

Dadavua ueleweke Dudu
Atakaa na mtoto kwa miaka 2 huku nikimpa huduma zote zinazo sitahiki,akisha muachisha namchukua na yeye tunaachana rasmi,ila ruksa kuja kumuona mtoto.
Atakayenizalia mtoto wa kike ntampa offer fulani hivi ya ziada.
 
hiyo opa utampa kadi au funguo?

Halafu opa itamsomeaha mtoto?
Itamlipia ada?
Itamlipia matibabu?
Itamlisha?
Itampa mapenzi ya mama?
Itamfundisha maadili mtoto?
Itajijaza mafuta?
Itajifanyia service?
Itamsaidia mama mtoto kupush?
Itamnyonyesha mtoto?
Mtoto akilia itambembeleza?
Mtoto akipata tatizo itamshauri?
Itacheka na mtoto pale atakapocheka na kulia na mtoto pale atakapolia......

Anyway utawapata tu humu.....
Kwa wewe BADILI TABIA sina aja ya kunizalia mtoto tuu,bali ntakuweka ndani jumla!
Wala usihofu kuhusu kadi ya gari,kwanza gari ntalinunua kwa jina lako lol!
 
Atakaa na mtoto kwa miaka 2 huku nikimpa huduma zote zinazo sitahiki,akisha muachisha namchukua na yeye tunaachana rasmi,ila ruksa kuja kumuona mtoto.
Atakayenizalia mtoto wa kike ntampa offer fulani hivi ya ziada.
Mbona i smell a rat kwenye hii offer yako?? unasound kama mchawi hivi............... au muuza watu.............
 
yani wewe.....:eek2:

:alien::alien::alien:
 
black pen!!!!!!kuwa makini....watakuja wadada tayari na mimba zao na opa utatoa,wakati wa kukabidhiwa mtoto unarukwa na dna inaendwa kupimwa,wakati huo opa yako ishauzwa....utakosa mwana na maji ya moto na chamoto utakiona!
 
jamani bado unapambana na Toyota tena kiopa..ungeongelea mjerumani kidogo basi kina Audi,VW na BM.

Kila la kheri lakini kwa utayayempata!!
 
Back
Top Bottom