Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
We huitaki opa kimwana.jamani bado unapambana na Toyota tena kiopa..ungeongelea mjerumani kidogo basi kina Audi,VW na BM.
Kila la kheri lakini kwa utayayempata!!
jamani bado unapambana na Toyota tena kiopa..ungeongelea mjerumani kidogo basi kina Audi,VW na BM.
Kila la kheri lakini kwa utayayempata!!
Hahahahahaha,mademu wa Arusha vimeo kishenzi mkuu.Nilipataga kidemu kimoja hapo maeneo ya SAKINA ikawa kila siku mizinga na mitoko,mara PICNIC,mara SOMBOLELO,mara SEVEN SEVEN,mara honey nipeleke kesho nairobi,mimba hakashiki nikaamua kukapiga chini,nilikua nakagongeaga hapo majengo sehemu hivi inaitwa CM GUEST HOUSE.by the way,nikikufanyia UDALALI nikuletee mtoto mmoja safi toka SHIVAS(ni maeneo flani ya uzunguni huku arusha mabinti wa hapo ni wazuri kwa umbo na tabia)inaruhusiwa?mi ujira wangu wa udalali nikipata bodaboda moja tu itatosha!uko tayari niwahi shivas fasta?
we BJ,hebu tulia...watakuja wenzako watakushangaa wewe bado unaota magari ya mjeremani wakati wenzako wanashushiwa mahekalu!walishapitaga siku nyingi level ya magari!ukichekwa mi simo
We huitaki opa kimwana.
You are well come!
Hahahahahaha,mademu wa Arusha vimeo kishenzi mkuu.Nilipataga kidemu kimoja hapo maeneo ya SAKINA ikawa kila siku mizinga na mitoko,mara PICNIC,mara SOMBOLELO,mara SEVEN SEVEN,mara honey nipeleke kesho nairobi,mimba hakashiki nikaamua kukapiga chini,nilikua nakagongeaga hapo majengo sehemu hivi inaitwa CM GUEST HOUSE.
Hahahahahaha!we kimwana wewe,ebu tulia kwanza,au kama vipi niweke MP maana wenzio washachangamkia nafasi hii.Au nikupe NISSAN FAIRLADY open roof?ha ha..mahekalu yanatakiwa yawe yameshashushwa siku nyingi maana ni muhimu zaidi...nilimjibu mjerumani kwa vile mkuu dudu alizungumzia gari..!!inaelekea viopa vimemchanganya!! he he
Hahahahahaha.......labda umekafananisha,mbona nimekapigia sasa hivi kamesema kako hapo jogoo kanapata kuku choma?okeeeeeeeeeeey!nakajua hako kademu,tumekazika juzijuzi tu,kalienda na ule ugonjwa wetu si unaujua?si ulitumia ndomu wakati unatafuta mtoto na yeye?
N.B kama hukutumia kinga usijibu post hii tafadhali!
Kwani unakasoro gani?thanks but sikufai........
Hahahahahaha!NIMEFUNGUA KATIKA KITABU CHA MAFUMBO KILICHANDIKWA NA MZEE MKIJIJI....KINASEMA toyota opa NI NENO LA KIFICHO LA "HIV/AIDS" s
Haya mabinti bahati yenu
hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM.
SIFA
Asiwe mlevi.
Awe mrembo.
Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo mkataba
wetu utaisha na atabeba kilichochake na kuondoka ntabaki kutoa pesa ya
matumizi ya mtoto kwa miaka2 kisha anikabidhi mwanangu.
Awe anajua mapenzi.
Awe mkarimu kwa ndg zangu na marafiki.
Umri kuanzia 16-35yrs.
Awe tayari kupima H.I.V.
Sina ndoto za kumuoa,mie lengo langu ni kunipatia mtoto tuu basi.
Umri wangu ni 33yrs.
Atakaa na mtoto kwa
miaka 2 huku nikimpa huduma zote zinazo sitahiki,akisha muachisha
namchukua na yeye tunaachana rasmi,ila ruksa kuja kumuona mtoto.
Atakayenizalia mtoto wa kike ntampa offer fulani hivi ya ziada.
Moja kwa moja huyo sidhani kama atapata nafasi,maana mdau anataka mwanamke mwenye heshima,sasa kama mods wamemtwanga bani it means nidhamu zero!bahati mbaya natalia kapigwa ban,