Demu wa ndugu yangu...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,328
Reaction score
23,909
Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????
 
Jamani, unashangaa nini?
Nyota ya uzinzi na kunjunji ndio inayotawala sayari ya dunia.
Ukisema utakuwa mbea na utasutwa na matarumbeta
 
Hebu hebu ngoja kwanza eti tatizo nini hapa??/ Mmmhh sijaelewa kabisa
 
Yawezekana mdogo wako hamkuni vizuri ndo maana akaamua kumpa mkunaji.

Kwa hiyo usishangae cha muhimu mfundishe mdogo wako jinsi ya ukunaji na kujali.
 
unampenda mdg wako?
sema mwaya
sema umwokoe mdg wako
sema ili atafute oltntv mapema.....(km kweli mdg wako alikuwa amejiweka na kumuhesabia demu uyo km mke wake ajae)
u were angel sent from above ili ushuhudie uozo wa demu na uweze kumwambia mdg wako
ukikaa kimya na badaye mkewe akaanza kuonyesha makucha nje nje we dhamira yako itakusuta.
SEMA,SEMA.SEMA.
 
Shemeji yake mtarajiwa kamfumania na rafiki wa mdogo wake akimega taratiiiiiiiiiiiiibu

Oohh ok kinachoomuuma nini sasa hapa??? Mdogo wako kashindwa kazi kasaidiwa unalalamika????
 
Oohh ok kinachoomuuma nini sasa hapa??? Mdogo wako kashindwa kazi kasaidiwa unalalamika????

Hahahahaha naona kinacho muuma zaidi kwanini asingefanya yeye bora angeshare na mdogo wake kuliko mtu baki
 
Hahahahaha naona kinacho muuma zaidi kwanini asingefanya yeye bora angeshare na mdogo wake kuliko mtu baki

Ujumbe umeutoa live Fidel ha ha ha ha alikuwa na yeye anamtaka kabisa
 
heeeh!aisee kama ni mdogo wako wa damu lazima utafute namna ya kumfanya dogo aelewe demu wake ni mtu wa aina gani.ukiacha tu utamuua dogo aisee.kama demu anamgawia mpaka rafiki wa dogo sembuse watu wa mbali!!kwa vile demu ameanza kujihisi then ni swala dogo.wewe cha kufanya mlazimishe demu a-confess kwa dogo.tengeneza kila aina ya mazingira ikibidi hata fitna ili huyo demu aweze ku confess.wewe usianze kumwambia dogo coz huwezi jua atalipokea vipi.pia ukimwambia kwa ushabiki utaweza kujikuta unawakati mgumu pale watakaposameheana.
 
siku ukimkuta nduguyo ana ugulia maradhi usijesema ningejua.....
 
We ni mgeni na maedmu wa bongo?..mwambie mdogo wako mapema awahi kupima ngoma.
 
Mwambie mdogo wako.Usipomwambia basi nawe unamtamani. Demu ni kicheche!!
 
hyo isha bumburuka, we chunatu kama dogo anaakili lazima atahitaji kujua ni nini ambacho dem wake alifikiri utakua umemwambia.
 
true m-face demu huyo mwambie a-confess kwa dogo halafu dogo achukue uamuzi mwenyewe. Kazi asipofanya hivo itakulazimu kumwambia dogo
 
Mwambie mdogo wako.Usipomwambia basi nawe unamtamani. Demu ni kicheche!!

Noo, kwa ushauri wa kitaalamu.
1. unatakiwa kum black mail huyu demu na umwambie kuwa hutamwambia dogo, lakini lazima akupe mzigo.
2. akikubali mshikishe kwa dogo baada ya kumega lakini
3.before this, mwambie dogo kuna issue muhimu utamweleza , ili demu akichomoa na kuwahi kwa dogo, we unampa full issue dogo wako!

Au unaonaje ushauri huu wa Ki Infi...:teeth::teeth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…