Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noo, kwa ushauri wa kitaalamu.
1. unatakiwa kum black mail huyu demu na umwambie kuwa hutamwambia dogo, lakini lazima akupe mzigo.
2. akikubali mshikishe kwa dogo baada ya kumega lakini
3.before this, mwambie dogo kuna issue muhimu utamweleza , ili demu akichomoa na kuwahi kwa dogo, we unampa full issue dogo wako!
Au unaonaje ushauri huu wa Ki Infi...:teeth::teeth:
Oohh ok kinachoomuuma nini sasa hapa??? Mdogo wako kashindwa kazi kasaidiwa unalalamika????
hahahaaahha fide bwana duuuuu!Hahahahaha naona kinacho muuma zaidi kwanini asingefanya yeye bora angeshare na mdogo wake kuliko mtu baki
Sijakupata hata kidogo... hebu ngoja nipate glasi ya namba wani kwanza nichakachueWanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????
hahahaaahha fidel bwana duuuuu!Hahahahaha naona kinacho muuma zaidi kwanini asingefanya yeye bora angeshare na mdogo wake kuliko mtu baki
wee mkaliiii!heeeh!aisee kama ni mdogo wako wa damu lazima utafute namna ya kumfanya dogo aelewe demu wake ni mtu wa aina gani.ukiacha tu utamuua dogo aisee.kama demu anamgawia mpaka rafiki wa dogo sembuse watu wa mbali!!kwa vile demu ameanza kujihisi then ni swala dogo.wewe cha kufanya mlazimishe demu a-confess kwa dogo.tengeneza kila aina ya mazingira ikibidi hata fitna ili huyo demu aweze ku confess.wewe usianze kumwambia dogo coz huwezi jua atalipokea vipi.pia ukimwambia kwa ushabiki utaweza kujikuta unawakati mgumu pale watakaposameheana.
Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????
wee mkaliiii!
Duh!
Alah .. Kumbe?
nini my love????
eeehhhh
unampenda mdg wako?
sema mwaya
sema umwokoe mdg wako
sema ili atafute oltntv mapema.....(km kweli mdg wako alikuwa amejiweka na kumuhesabia demu uyo km mke wake ajae)
u were angel sent from above ili ushuhudie uozo wa demu na uweze kumwambia mdg wako
ukikaa kimya na badaye mkewe akaanza kuonyesha makucha nje nje we dhamira yako itakusuta.
SEMA,SEMA.SEMA.
Hivi Christmas ni Lini vile... Nimekuwa busy sana kusikiza maungamo mpaka nimesahau tarehe
Kumwambia lazima!Ukinyamaza alafu akaja kupata magonjwa utajisikiaje wakati ulikua na nafasi yakuzuia hukuitumia![/QUOTE
haswa, hasimuingize mdogo wake motoni, matatizoni kwa ajiri ya dem na rafiki mshenzi