Demu wa ndugu yangu...

Demu wa ndugu yangu...

Kumwambia lazima!Ukinyamaza alafu akaja kupata magonjwa utajisikiaje wakati ulikua na nafasi yakuzuia hukuitumia!
 
Hivi Christmas ni Lini vile... Nimekuwa busy sana kusikiza maungamo mpaka nimesahau tarehe
 
Noo, kwa ushauri wa kitaalamu.
1. unatakiwa kum black mail huyu demu na umwambie kuwa hutamwambia dogo, lakini lazima akupe mzigo.
2. akikubali mshikishe kwa dogo baada ya kumega lakini
3.before this, mwambie dogo kuna issue muhimu utamweleza , ili demu akichomoa na kuwahi kwa dogo, we unampa full issue dogo wako!

Au unaonaje ushauri huu wa Ki Infi...:teeth::teeth:

Duh, hii kali. Yani hapa unacheza kama devil advocate eeh?
 
Oohh ok kinachoomuuma nini sasa hapa??? Mdogo wako kashindwa kazi kasaidiwa unalalamika????

Hajashindwa kazi Dena ila huyu binti ndio mapepe na tamaa za ngono zimemtawala ,
nyie wote wanaume Mentor mweleze mdogo wako achague kusuka ama kunyoa
 
Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????
Sijakupata hata kidogo... hebu ngoja nipate glasi ya namba wani kwanza nichakachue
 
heeeh!aisee kama ni mdogo wako wa damu lazima utafute namna ya kumfanya dogo aelewe demu wake ni mtu wa aina gani.ukiacha tu utamuua dogo aisee.kama demu anamgawia mpaka rafiki wa dogo sembuse watu wa mbali!!kwa vile demu ameanza kujihisi then ni swala dogo.wewe cha kufanya mlazimishe demu a-confess kwa dogo.tengeneza kila aina ya mazingira ikibidi hata fitna ili huyo demu aweze ku confess.wewe usianze kumwambia dogo coz huwezi jua atalipokea vipi.pia ukimwambia kwa ushabiki utaweza kujikuta unawakati mgumu pale watakaposameheana.
wee mkaliiii!
 
Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo.
Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????

Nilikuwa najaribu kuelewa message yako kwani ilikuwa haijaeleweka sawasawa kwangu. Kwa hiyo unachosema mpenzi wa kike wa mdogo wako wa kiume anawagawia tunda mdogo wako na rafiki yake wa kiume. Na sasa siri ya hilo tendo unalo ila mdogo wako hajui.

Ni vyema ukamuuliza mdogo wako huu urafiki wake na huyu mwanamke ni wa aina gani? Je walishawahi kufanya tendo la ndoa na huyo mwanamke? Na je wana makubaliano gani ya muda mrefu na huyo mwanamke

Kama ningekuwa mimi nisingepata taabu ya kuanzisha huu mjadala kwani kwa kuuanzisha huu mjadala utakuwa unafanya jambo jema kwa huyo mdogo wako. Pa kuanzia umeshapata ni hiyo simu aliyopiga huyo mwanamke kwa mdogo wako akiulizia kama umemwambia kitu chochote.

Kingine napenda kuuliza. Huyu mdogo wako mmezidiana miaka mingapi? Je inawezekana huyu rafiki wa mdogo wako ni rafiki yako pia? Maana sielewi inakuwaje mpaka mnaazimana video na rafiki wa mdogo wako.
 
hizi kesi za infiii tulikuwa tunazisikia tu kwa wanaume,nafurahi kuwa na wanawake pia hawako nyuma...heheeh
siriaz angekuwa ni mdogo wako na nyumba ndogo ungemueleza kweli huyo msichana wake?????uchune tu kama unanyolewa vileLOL,...natania mwaya mwambie mdogo wako stori nzima bila kuficha akiamua kumsamehe ni yeye at least utakuwa tayari you have done your part,kuliko kujilaumu baadae baada ya kuona anaikanyaga miwaya aliyoeletewa na huyo mkewe mtarajiwa....ukimwambia at least atakaa naye kimachale/kiakili kama alikuwa anakula kavu atafikiria kutumia condom etc...:embarrassed:
 
unampenda mdg wako?
sema mwaya
sema umwokoe mdg wako
sema ili atafute oltntv mapema.....(km kweli mdg wako alikuwa amejiweka na kumuhesabia demu uyo km mke wake ajae)
u were angel sent from above ili ushuhudie uozo wa demu na uweze kumwambia mdg wako
ukikaa kimya na badaye mkewe akaanza kuonyesha makucha nje nje we dhamira yako itakusuta.
SEMA,SEMA.SEMA.

Ingekua ni mtu baki ningekuunga mkono kukaa kimya lakini kwa mdogo wako huna haja ya kuendelea kuwa kimya na kuumia roho. Mwambie ukweli wa ulichokiona halafu muachie mwenyewe afanye uamuzi baada ya kufahamu kile kilichojiri.

ni tarehe 24 askofu yaani mundesha kanisa pia umesahau date aaaah we hufai utapoteza wafuasi wako mzeee,
Hivi Christmas ni Lini vile... Nimekuwa busy sana kusikiza maungamo mpaka nimesahau tarehe
 
Kumwambia lazima!Ukinyamaza alafu akaja kupata magonjwa utajisikiaje wakati ulikua na nafasi yakuzuia hukuitumia![/QUOTE

haswa, hasimuingize mdogo wake motoni, matatizoni kwa ajiri ya dem na rafiki mshenzi
 
Nyie watu wengine vipi humu ndani? Kaka yetu, kaomba ushauri afanye nini au aanzie wapi. Sababu hii kitu inachanganya kwa kila mwanadam. Sababu inauma sana kwa kila mtu kuona mdogo wako analaghaiwa kimapenzi na mwanamke mshenzi. Tena inauma zaidi ikiwa ni rafiki wa karibu ndio mchukulia dem wa mdogo wake. Na nyie humu ndani munamshauri nae ajingize kwenye kundi la kishenzi, aise?
 
Back
Top Bottom