Demu wangu akilewa tu,ananilazimisha! Nisaidieni cha kufanya!

Demu wangu akilewa tu,ananilazimisha! Nisaidieni cha kufanya!

Wanawake wengi sana pombe hawaziwezi wakinywa tu wanakuwa vishooia
 
Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani!

Sasa mkubwa hapo tatizo liko wapi ? Si ndiyo ungeshobokea ?
Kwamba kila akiwa nyapi "sherehe ya shughuli" au labda hujiweziwezi ? Fafanua !
 
Back
Top Bottom