Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,494 Jan 27, 2012 #41 Ralphryder said: Sawa, sasa na mimi nitapata hamu? I mean ku peas! Click to expand... kupeas maana yake nini? Na ni lugha gani?
Ralphryder said: Sawa, sasa na mimi nitapata hamu? I mean ku peas! Click to expand... kupeas maana yake nini? Na ni lugha gani?
M Madodi Senior Member Joined Apr 10, 2011 Posts 176 Reaction score 59 Jan 27, 2012 #42 mle tigo ataacha ushenz mwenyewe
roby2006 JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 421 Reaction score 113 Jan 28, 2012 #43 Wanawake wengi sana pombe hawaziwezi wakinywa tu wanakuwa vishooia
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,785 Jan 28, 2012 #44 Ralphryder said: Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani! Click to expand... Sasa mkubwa hapo tatizo liko wapi ? Si ndiyo ungeshobokea ? Kwamba kila akiwa nyapi "sherehe ya shughuli" au labda hujiweziwezi ? Fafanua !
Ralphryder said: Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani! Click to expand... Sasa mkubwa hapo tatizo liko wapi ? Si ndiyo ungeshobokea ? Kwamba kila akiwa nyapi "sherehe ya shughuli" au labda hujiweziwezi ? Fafanua !