Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu...habarini za weekend mimi binafsi ni mzima wa afya, wakuu ninapitia changamoto ya kunyimwa tunda na demu wangu kiasi kwamba nimejaribu njia zote nimeona haya mahusiano ni heri yakaisha tu..
Wakuu kwanza jana usiku yapata majira ya saa nane na nusu usiku ilibidi tu nimwambie avae nguo zake nimpeleke kwao kwa sababu alifika hatua hadi ya kunishikia kisu na kunitahadharisha nisimsogelee na endapo ningekaidi angenimaliza..
Muda huo yupo na kanga nyepesi tu hana kitu ndani kwa maana alivyoona kitandani namgusagusa unajua ile mmelala sasa unafanya touching za hapa na pale huwa anakuwa mkali vibaya sana hata vibao huwa anarusha.
Sasa ndio akashuka kitandani akakimbilia kisu..hapo kelele nyingi hadi wapangaji wengine wanakosa usingizi kwakweli ni aibu sana.
Mimi kiasili ni Mpole sana kutokana na watu wanavyosemaga ila sijajua ni kwanini na toka nimezaliwa hadi hii leo sijawahi kumpiga mwanamke hata siku moja...ila ile siku ya fainali ya UEFA kwa kweli huyu demu wangu alinikwaza sana nilimuwasha kofi moja akajiziba uso muda huo niko juu yeye chini na hapo ni kitandani
Daah can you imagine Mtu anashindwa nini kunipa uchi na anakanga moja tu ndani hana kitu,ni kamuwasha kofi la pili ...aisee hapo ndipo niliposhuhudia maajabu na kujiapia sitompiga tena mwanamke.
Aisee sijui alijing'ata maana damu zilitoka kama bomba puani ...mashuka damu tu muda huo analia hadi majirani wakaamka bhasi nikamsaidia kumsafisha nikatandika mashuka mengine ...niligoma asiondoke usiku ule maana alikuwa anang'ang'ania kuondoka usiku ule nami nikahisi huyo nikimuacha tu ataenda utuo(polisi).
Yaani anatia hasira sana hivi mtu hataki kukupa papuchi au anakwambia tulale nitakupa asubuhi na ikifika asubuhi bado asikupe papuchi je mtu huyo unaweza kumuelewa kweli sababu nikimuuliza huwa unafuata nini kwangu ikiwa hauko tayari kunipa tunda yeye hukosa majibu.
Na sababu za kumpiga siku hiyo ni alinitukana sana wakuu kuwa mimi mngese sana,...mara sina hela,...mara ntakuacha yani mambo kibao sana, mdomo mwingi sana, hiyo siku kuna muda alinipiga na mwiko nikamsihi na kumpora ache ukorofi mara akaniwasha kofi zito.
Hapo ndio nikasema huyu anautumia upole wangu vibaya ndio nikamtia adabu ...lakini cha kushangaza hajakoma hajaacha kuja ghetto wala nini bado anakuja ila shida yake ni hiyo tu hapendi kunipa papuchi...
Nimeona wakuu nimuache kutokana na nini, nimehisi tutakuja kuuana ndani siku moja, hivi fikiria nikiwa nimesinzia si atanichoma kisu huyu. Kwa hiyo huwa naficha vitu vote hatarishi ndio nilale, yeye anachojua ni kuomba hela ila hasimami kama mwanamke ambae anahitaji ndoa. Hafui, hadeki, hafanyi chochote zaidi ya yeye anataka nimzingatie shida zake tu.
Wakuu, muwe na weekend njema ngoja nipumzike...