Demu wangu ananinyima sana tunda

Umemtolea mahari lakini au unadai haki usizostahili?!!
 
Pole sana, inaonekana wewe ndio unamhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji...Jua kabisa unatumika, katika maisha yako usikubali kutumika hata siku moja otherwise lazima kuwe na win win situation. Ninavyojua Mimi watu wakimya huwa Kuna mstari ukiuvuka basi utajua kwanini hakuna jongoo kiwete, huyo asingerudi ila wewe inaonekana ni mpole with nothing....pole sana.
 
Niliwahi kuwa na mwanamke yaani ghetto anakuja ila mzigo ananipa napiga kamoja anaondoka yaani hajiachii nikachunguza nikakuta kumbe mgonjwa ana Pelvic Inflammatory Disease (PID) mchunguze huyo huenda mgonjwa usiishie kumlaumu, kama angekuwa hakupendi asingekuja kwako
 
Anaumwa nyonga?
 
Sio wako huyo, achana naye .
 
Achana nae mara moja, haraka sana tena kuwa aggressive kwenye kumuacha, simaanishi umpige, ila kuwa mkali ashangae, narudia usimpige
 
Daah tupo tofauti sana tokea nimeowa sikuwahi kuomba vitumbua huwa naamshwa tu naambia muda wa kazi...πŸ˜«πŸ˜«πŸ˜«πŸ€“πŸ€“
 
Ulijuaje ana P.I.D?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…