Demu wangu ananinyima sana tunda

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ Run
 
Masikitika kuona kijana una mahusiano na:-
1.Kahaba anayejiuza
2.Bondia ambaye yupo tayari kupanda ulingoni.
3. Mwanamke anayekupotezea muda kwani akifika kwako anakuwa amesha kunwa angle zote za pampuchi.
Tafakari na UCHUKUE hatua
 
Ushasema ni demu hlf unalalamila angekua mke sawa sas unataka usogeze kilomita za mwenzio na hujamuoa.
 
Unatunza mti tunda anakula mwingine,acha ujinga mwambie asikanyage kwako tena
 
Yaani unaomba tukushauri kwa DEMU!! Nikahisi mkeo, oa then ukinyimwa njoo uombe ushauri.
Hata sheikh au wachungaji utawafikishia jambo lako na si la demu
 
Kwanini unalala na visu na mwiko chumbani..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…