Demu wangu anichukia baada ya kujua niko ccm

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Hii imetokea muda si mrefu baada ya kumwonesha kadi ya ccm nikiwa chumbani.....amenipa somo la kiraia kweli mpaka nimemwelewa..sasa nataka kesho nikaombe uwanachama wa chadema....aisee, kumbe nilikua mburula kiasi hicho cha kutojua tembo na rasimali za hii nchi zinavyoibiwa na ccm, wakati nilikuwa mjumbe wa ccm nikipata hela za mezani tuu( petty money).......kweli hii nchi wasindikizaji wengi,wengine kama walikua kama mimi amkeni, muda wa mapinduzi ndo huu...
 
Kie kie kie kie in bahati sana la sivyo ungemkosa mrembo wako! Jiunge hata na DP cha mtikila


Sent from my EyePhone
 
Bora amekuamsha toka usingizi mzito uliokuwa umelala na mpe hongera zangu nyingi kwa kuweza kukupa somo lililoeleweka na hatimaye kuamua kubadili itikadi yako. Karibu CDM chama cha watetezi wa maslahi ya Watanzania na Tanzania.

 
We ng'ang'ania huko kama hautanyimwa mchezo
 
Last edited by a moderator:

Serukamba kama Nkamia.
Haya pitia posho yako kwa Mshumbushi.
 
Una akili ndogo sana, unazidiwa utambuzi na demu wako, atakuacha, we subiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…