cheeter
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 475
- 155
Hii imetokea muda si mrefu baada ya kumwonesha kadi ya ccm nikiwa chumbani.....amenipa somo la kiraia kweli mpaka nimemwelewa..sasa nataka kesho nikaombe uwanachama wa chadema....aisee, kumbe nilikua mburula kiasi hicho cha kutojua tembo na rasimali za hii nchi zinavyoibiwa na ccm, wakati nilikuwa mjumbe wa ccm nikipata hela za mezani tuu( petty money).......kweli hii nchi wasindikizaji wengi,wengine kama walikua kama mimi amkeni, muda wa mapinduzi ndo huu...