Demu wangu kaenda chuo!

Kutulia ukiwa chuo ni ngumu sana...
 
mbona chuoni kuna wadada wanajiheshimu sana tena hawana tamaa za kijinga jinga mimi baadhi yao nimewaona wanajiheshim sana!!!
kugongwa ni tabia ya mtu hata isingekuwa chuo uraiani pia kubaya!!! cha kufanya kuwa makini unapokutana naye tu!!!
 

kwani hata mkipitiwa mnasemaga nyie???
 
Kutulia ukiwa chuo ni ngumu sana...

Inawezekana, msimamo tu wa mtu.
Nakumbuka first year nilikula mitongozo hatari, yani ilikuwa shida...ila mwishowe wale watongozaji wakawa marafiki zangu sanaa...tumefika third year wanabaki wananisimulia tuuu....!

Usimtishe mwenzio..
 

Block D ukikaa first floor vyumba vinavyoangaliana na parking raha sana.......Watoto wa Block A na B wanapita tu na roho inasuuzika
 

Asante mkuu, maana nmekuwa na mawazo chungu mzma nsije kuwa wa kutunza wenzangu wanapga maana hawa viumbe lol!
 
nenda nae, na wewe kasome upya. maana huna cha kufanya unakuja kuuliza vitu vya kitoto.
 

So I just have to play my role and keep calm?? Ahsante mkuu!!
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

Wote hao kaka mbona hatari sana aisee!! Then wakimkosa nije kufanyaje....??
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

9. Classmate ama member wa discussion group!
10. Tax driver
11. Mhudumu wa stationary
12. Mtu wa canteen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…