Demu wangu kaenda chuo!

Demu wangu kaenda chuo!

Kutulia ukiwa chuo ni ngumu sana...
 
mbona chuoni kuna wadada wanajiheshimu sana tena hawana tamaa za kijinga jinga mimi baadhi yao nimewaona wanajiheshim sana!!!
kugongwa ni tabia ya mtu hata isingekuwa chuo uraiani pia kubaya!!! cha kufanya kuwa makini unapokutana naye tu!!!
 
Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....

Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..

kwani hata mkipitiwa mnasemaga nyie???
 
Kutulia ukiwa chuo ni ngumu sana...

Inawezekana, msimamo tu wa mtu.
Nakumbuka first year nilikula mitongozo hatari, yani ilikuwa shida...ila mwishowe wale watongozaji wakawa marafiki zangu sanaa...tumefika third year wanabaki wananisimulia tuuu....!

Usimtishe mwenzio..
 
Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....

Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..

Block D ukikaa first floor vyumba vinavyoangaliana na parking raha sana.......Watoto wa Block A na B wanapita tu na roho inasuuzika
 
wewe a cha kukariri maisha tabia na msimamo wake ndo kila kitu. pia inategemea jinsi ulivyojenga upendo na uaminifu kwako ili aweze kuona wewe ni zaidi ya wengine. kama hueleweki eleweki alishakuonaa humjali anakukamaya na michepuko kwisha habari yako. jitahidi uwe na mawasiliano ya karibu na ukipata nauli nenda umtembelee

Asante mkuu, maana nmekuwa na mawazo chungu mzma nsije kuwa wa kutunza wenzangu wanapga maana hawa viumbe lol!
 
nenda nae, na wewe kasome upya. maana huna cha kufanya unakuja kuuliza vitu vya kitoto.
 
Ndo mnavyojidanganyaaa eenh? Msimamo tu wa mtu, na akitaka usalama basi ampe uhuru wake, amkumbushe jinsi anavyompenda na kumuamini....

la sivyo akijifanya anajua sana kumchunga chunga, ye ndo anajua ratiba kuliko huyo msomaji mwenyewe.....ata.tomb.ewa mpaka na muuza matundaa....!

So I just have to play my role and keep calm?? Ahsante mkuu!!
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

Wote hao kaka mbona hatari sana aisee!! Then wakimkosa nije kufanyaje....??
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

9. Classmate ama member wa discussion group!
10. Tax driver
11. Mhudumu wa stationary
12. Mtu wa canteen
 
Back
Top Bottom