Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 551
- Thread starter
-
- #41
Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....
Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..
Mhh!! Tafadhari #Salt
Brothr hebu 2anzie hap kwanz, ameenda chuo gan?
IFW,CBE,ZOOM,UDSM,MAKUMIRA,EAGLE WING?😕
Fungua chuo chako asome salama, kwingine sio.
mbona chuoni kuna wadada wanajiheshimu sana tena hawana tamaa za kijinga jinga mimi baadhi yao nimewaona wanajiheshim sana!!!
kugongwa ni tabia ya mtu hata isingekuwa chuo uraiani pia kubaya!!! cha kufanya kuwa makini unapokutana naye tu!!!
Huo ndo ushauri, kuna mdada alikuwa chuo, mume kaona haelewi elewi na yeye akaenda chuo kile kile kupiga masters.....
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious ushauri is needed!!
nenda nae, na wewe kasome upya. maana huna cha kufanya unakuja kuuliza vitu vya kitoto.
mkuu chuo lazma awe na mtu piga ua......
Acha kufocus na vitu vidogo kama hivyo, mwanamke ni zaidi ya papuchi.[/QUOTE
that's positive mind...
mkuu chuo lazma awe na mtu piga ua......
akikutana na wash.enzi kama hawa huna mtu tena hapo!!!