Bora sikuteka attention zao kama unavyosema ilisaidia kuniepusha na mambo mengi.
Una uhakika kuwa unadegree???
Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....
Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..
Una uhakika kuwa unadegree???
ha ha ha hata thermometer ina degrees kibao tena inafanya kazi kwapani lol...
ha ha ha swali lako limeniacha hoi mie...Hahahahah kweli kabisa shostisto
Hata kama akiendelea kuwa wako jua kabisa kuna pipo znakutmbea huko chuo...!!!
concluded.
Mkuu we si umesema umepitia chuo? Wakati uko chuo hukuona akina dada wanaojiheshimu? Ama tabia yako ni mbaya atakogwa tu hata asipoenda chuo. Kama hamuaminiani achaneni
tatizo mbadala ndo siujui, bila samahani!!Mwl Evelyn Salt hivi kila neno huandikwa kila sehemu?
Ni kweli kuna maneno hayana maneno mbadala?
Samahani lakini!
block d ya mabibo?
I wish she behaves like U did.. Congrats madam!!
Block D ukikaa first floor vyumba vinavyoangaliana na parking raha sana.......Watoto wa Block A na B wanapita tu na roho inasuuzika
kwani hata mkipitiwa mnasemaga nyie???
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious ushauri is needed!!
Makumira mkuu, Mbeya.. Je??
kuwa muhuni ni tabia ya mtu sio kweli kwamba wasichana wote wa chuo ni malaya.Mbona wapo wengi wanaojiheshimu wanajua kilichowapeleka ni kusoma.Muache asome kua na positive attitude atamaliza tu salama.
mapenzi ni zaid ya kitandani msikalili vbaya jamani loohh,kila mtu anawaza kitanda tuNdo mnavyojidanganyaaa eenh? Msimamo tu wa mtu, na akitaka usalama basi ampe uhuru wake, amkumbushe jinsi anavyompenda na kumuamini....
la sivyo akijifanya anajua sana kumchunga chunga, ye ndo anajua ratiba kuliko huyo msomaji mwenyewe.....ata.tomb.ewa mpaka na muuza matundaa....!