Demu wangu kaenda chuo!

Demu wangu kaenda chuo!

Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....

Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..

block d ya mabibo?
 
Lazima utambue kua kama ni kutongozwa hilo halipingiki tena kuanzia wanachuo wenzake mpaka wakufunzi.Jambo la msingi ni je atayavuka hayo mawimbi akilegea tu kaliwa.
 
Mkuu we si umesema umepitia chuo? Wakati uko chuo hukuona akina dada wanaojiheshimu? Ama tabia yako ni mbaya atakogwa tu hata asipoenda chuo. Kama hamuaminiani achaneni

Ni kweli walikuwepo japo wachache.. Thanks!!
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!

kuwa muhuni ni tabia ya mtu sio kweli kwamba wasichana wote wa chuo ni malaya.Mbona wapo wengi wanaojiheshimu wanajua kilichowapeleka ni kusoma.Muache asome kua na positive attitude atamaliza tu salama.
 
kuwa muhuni ni tabia ya mtu sio kweli kwamba wasichana wote wa chuo ni malaya.Mbona wapo wengi wanaojiheshimu wanajua kilichowapeleka ni kusoma.Muache asome kua na positive attitude atamaliza tu salama.

Thanks very much mkuu.. Courageous!!
 
Ndo mnavyojidanganyaaa eenh? Msimamo tu wa mtu, na akitaka usalama basi ampe uhuru wake, amkumbushe jinsi anavyompenda na kumuamini....

la sivyo akijifanya anajua sana kumchunga chunga, ye ndo anajua ratiba kuliko huyo msomaji mwenyewe.....ata.tomb.ewa mpaka na muuza matundaa....!
mapenzi ni zaid ya kitandani msikalili vbaya jamani loohh,kila mtu anawaza kitanda tu
 
Mkuu niambie jina lake na chuo.. nipe na namba zake huenda nipo nae chuo kimoja takulindia mali yako mkuu pllliiiiiiiiiiiiiizzz
 
Back
Top Bottom