Demu wangu kaenda chuo!

Demu wangu kaenda chuo!

Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!

aloo muache huyu dem wako memkuta udasa na jamaa mmoja wanavunja amri ya 7-1
 
Inategemea na akili ya mtu, kama mtu amezoea liwa ataliwa tu. Kama mtu anajiheshimu na kujua wajibu wakr kwa Mungu na wanadamu kamwe hawezi fanya mambo yatayo muaibisha Mungu wakr,ndugu zake, hata wapenzi wake
 
Sure kama ana hofu na Mungu hakuna kitachoharibika, pia itategemea kampani atayokutana nayo...!
Ila namuusia kaka yangu asimchunge kama mtoto...mambo ya ooh ulikuwa wapi? Mbona hupokei simu, lecture gani zisoisha....uyaache...

We mpe uhuru, muache azurureee, ajichanganyeeee akichoka atatulia......we mkumbushe tu kuwa unampenda na unamsubiriaaa.
Ukianza kumchunga kama mtoto ndo utakuwa umempa excuse ya kuchachukaaa...utajutraaaa watapewa hata wasioomba...
 
Msimamo wake ndio kila kitu kama anakupenda jiamin nothing bad will happen
 
Inategemea na akili ya mtu, kama mtu amezoea liwa ataliwa tu. Kama mtu anajiheshimu na kujua wajibu wakr kwa Mungu na wanadamu kamwe hawezi fanya mambo yatayo muaibisha Mungu wakr,ndugu zake, hata wapenzi wake

Ahsante mwana, nilikuwa nna waswas bt nashukuru maushauri yenu wadau..
 
sio wako tena huyoooop!! koz gan??? labda kama eduche kidoooooogooooooo kama ni pr baso llb procure bba bamc agro-biz nanyinginezo andika maumivuuuu
 
Hapo umenena mkuu, shida sisi tunaasi sana upendo na hofu ya Mungu..
 
Ahsante mwana, nilikuwa nna waswas bt nashukuru maushauri yenu wadau..

omba sana ndugu varsity life lataka moyo....
je ana boom???? kama hana uchumi wakwao ukoje???? haya in one way or another wewe ulikua unamhudumia hata hela ya losheni ???? tafakari chukua hatua
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!
No doubt, you're not very sure on whether she's faithful when she stayed with you.. and now she in the college. I think, there's no need for you to be so sure of what are going to happen there either.
What she can do here with you, she can probably do there in college.
My take: Live like you are not sure of anything worse are going to happen. Learn to be an optimists
 
Sali tu ndg. Chuo madem wanapigwa kimyakimya. Anarudi anaenda kuosha k,bafuni , anapanda disc.kama kawa., hatari sana.
 
You are actually not very sure on whether she's faithful when she stayed with you.. and now she is going to college. I think, there's no need for you to be so sure of what are going to happen there either.
What she can do here with you, she can probably do there in college.
My take: Live like you are not sure of anything worse are going to happen. Learn to be an optimists

Thanks and I think I should hope for worst as I hope for the best.. Win-loose situation.. Lol!! #vasco
 
sio wako tena huyoooop!! koz gan??? labda kama eduche kidoooooogooooooo kama ni pr baso llb procure bba bamc agro-biz nanyinginezo andika maumivuuuu

mhhhhhhh mkuuu
watu wanaosomea procure wana nini??hebu tujuzeee mwayaaaaa mweeeeeh
 
Ndo mnavyojidanganyaaa eenh? Msimamo tu wa mtu, na akitaka usalama basi ampe uhuru wake, amkumbushe jinsi anavyompenda na kumuamini..

la sivyo akijifanya anajua sana kumchunga chunga, ye ndo anajua ratiba kuliko huyo msomaji mwenyewe.....atadinywaa mpaka na muuza matundaa....!

Ahsante sana you spoke it out very well
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

Does it mean wanawake tumekua that cheap? Tabia ya mtu ni yeye mwenyewe,na akili yake na uaminifu
 
Back
Top Bottom