Demu wangu kaniacha kisa nimetoa mswaki badala ya peni kwenye presentation

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Kuna siku kulikuwa na presentation chuoni asa mi siku iyo nilikuwa nimeweka mfukoni mswaki kwa bahati mbaya

Asa kwa bahati mbaya kwenye kupresent mada nikajua mfukoni kuna marker pen kumbe mswaki asee wakati nautoa kila mtu akauona including my girfreand niliabika sana siku ile mabesti wa demu wangu walikuwa wanamcheka mwenzao mpaka akawa analia na kuanzia siku ile mpaka leo hanipendi anasema eti sijielewi
 
Siamini kuwa ni kweli. Siamini kuna watu wana kiwango hichi cha upuuzi
 
Anyway umenfanya mecheka sana....na comments za wadau ndo kabisaaaaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…