Alosto
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 366
- 352
Kuna siku kulikuwa na presentation chuoni asa mi siku iyo nilikuwa nimeweka mfukoni mswaki kwa bahati mbaya
Asa kwa bahati mbaya kwenye kupresent mada nikajua mfukoni kuna marker pen kumbe mswaki asee wakati nautoa kila mtu akauona including my girfreand niliabika sana siku ile mabesti wa demu wangu walikuwa wanamcheka mwenzao mpaka akawa analia na kuanzia siku ile mpaka leo hanipendi anasema eti sijielewi