Demu wangu kaniacha kisa nimetoa mswaki badala ya peni kwenye presentation

Demu wangu kaniacha kisa nimetoa mswaki badala ya peni kwenye presentation

Huyo demu wako ni mpuuzi.
Kuna mwenzio alisha wahi kutoa chupi kutoka mfukoni akidhani leso, na wakati huo alikua anahubiri kanisani.
Pamoja na hayo, maisha yaliendelea tu
 
Back
Top Bottom