Demu wangu kaniibia buku 5

Demu wangu kaniibia buku 5

Hahaaaaa unajua kuna watu wanadharau kweli eti mtu anasema elfu tano tuu unajitia aibu sasa nyinyi mnajua maisha ya huyu mtu yakoje ila huyo demu alivo fanya sio vizuri alafu ww utakuwa mchaga maana mwanaume mgumu kuhonga, demu anapenda kuhongwa
 
Mkuu mimi sio mchaga,ila ni kweli buku tano tano ndo levo ya maisha yangu
 
Hahaaaaa unajua kuna watu wanadharau kweli eti mtu anasema elfu tano tuu unajitia aibu sasa nyinyi mnajua maisha ya huyu mtu yakoje ila huyo demu alivo fanya sio vizuri alafu ww utakuwa mchaga maana mwanaume mgumu kuhonga, demu anapenda kuhongwa
Wambie hao mkuu!hay a maisha tu!!!
 
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.

Sasa umelala kwake umelipa?
 
Hiyo elf tano huenda ilidondoka chini au chuma ulete alichukua, aibe elf tano ya nini wakati hata saloon haitoshi. acha ubahili kijana
 
buku tano kubwa mkuu ohoooooo!!!
 
Back
Top Bottom