Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
-
- #301
Kaka nishamuacha huyu mtu lakini mbona ananifuatilia sana??omi ke?
poa.
Kaka nishamuacha huyu mtu lakini mbona ananifuatilia sana??
Subiri kidogo mkuuNi PM namba yake nikusaidie majukumu! lol
mwisho 00:00 ..Subiri kidogo mkuu
Usijalimwisho 00:00 ..
NimeshakuPM kama hujaiona nistuemwisho 00:00 ..
Asante sana mkuuDah!!pole mkuu
Mkuu mimi sio mchaga,ila ni kweli buku tano tano ndo levo ya maisha yanguHahaaaaa unajua kuna watu wanadharau kweli eti mtu anasema elfu tano tuu unajitia aibu sasa nyinyi mnajua maisha ya huyu mtu yakoje ila huyo demu alivo fanya sio vizuri alafu ww utakuwa mchaga maana mwanaume mgumu kuhonga, demu anapenda kuhongwa
Wambie hao mkuu!hay a maisha tu!!!Hahaaaaa unajua kuna watu wanadharau kweli eti mtu anasema elfu tano tuu unajitia aibu sasa nyinyi mnajua maisha ya huyu mtu yakoje ila huyo demu alivo fanya sio vizuri alafu ww utakuwa mchaga maana mwanaume mgumu kuhonga, demu anapenda kuhongwa
Ndo hizo sasa nazitafuta anapita nazo!hii haki kweli?azitafute sasa
:a s 100:ndo umekuja kumuulizia humu
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
Ndo hizo sasa nazitafuta anapita nazo!hii haki kweli?
kuniibia?!!Haki tu
kwani chumba analipa nani???Sasa umelala kwake umelipa?
buku tano kubwa mkuu ohoooooo!!!Hiyo elf tano huenda ilidondoka chini au chuma ulete alichukua, aibe elf tano ya nini wakati hata saloon haitoshi. acha ubahili kijana
kuniibia?!!