Demu wangu kanitukana

Umeniangusha sana mkuu yaani umeombwa hela huna na bado umeomba msamaha wa kutokuwa nayo,?

Hakika nisipokuona mbinguni nitajua wamekuonea.

CC Zero IQ
Naomba msamaha mbele ya tume ya wanaume.suala Hilo halitajirudia kwa kuwa nilikuwa sijui
 

Mpaka mwanamke anakutukana jua kuna sababu nyingi nyuma yake, kuanzia kwenye sita kwa sita hadi mahitaji yake kama mwanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu acha uvulana unatukanwa halafu unakuja kulalamika jf.
Mpe makofi ya kutosha!
Ana bahati TU Yuko mbali kidogo tutaonana naye kesho ,Sasa na wasiwasi hasira itakuwa imeisha..sijui Kama kwa kesho nitakuwa na uthubutu wa kumtia makofi
 
Mpaka mwanamke anakutukana jua kuna sababu nyingi nyuma yake, kuanzia kwenye sita kwa sita hadi mahitaji yake kama mwanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa hapo nahisi point kubwa ni kwenye mahitaji yake
 
Dah..vitu vingine wala siyo vya kuuliza JF...
Kama vipi tupia namba watu watume hiyo buku 10 kwa niaba yako...
Hii ni kwa mujibu wa Oxford

"msenge | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries" msenge | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries

Sent using Beretta ARX 160
 
Mi sijui amemaanisha nini, labda msenge ni mtu asie na 10,000.
 
hahah mkuu nimcheka kinoma achana nae yupo kwa faida uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…