Demu wangu kanitukana

Demu wangu kanitukana

Uache useng.e wa kuomba msamaha kwa kosa ambalo siyo lako?ndio maana kakuita hivyo kwa sababu anakuona mseng.e kwa usenge usenge wako unaofanya..msenge kweli wewe
😂😂😂😂😂😂😂 basi baba inatosha baba!
 
Yani unaruhusuje ngedere akutukane halafu uombe msamaha wakati yeye aliyekutusi ndiye aliyestahili kuomba msamahaha

Sent using unknown device
 
Nipe nambake nikurekebishie atanyooka tu tena atakuita baba

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
 
Pole sana...

Ila unaonekana mzembe mzembe sana, tokea lini mtu akaomba msamaha kwa kukosa pesa, ndiyo maana anakutukana...


Cc: mahondaw
 
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.

Anamaanisha hakuheshimu hata, kidogo, pesa yako ndio dili, bado unauliza swali ufanye nini?
 
Back
Top Bottom