Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Eti ukute demu ya Kenya inapenda Pesa mpaka inakomba yote hafu havai wigi wala kula bata kwa hela aliochukua kwa men wake, demu ya Kenya INA invest halafu inakuambia ona hela uliyinipa waona nimefungua biashara lakini ya bongo ni viraza utasikia asante kwa kunipendezesha umefanyaningare halafu hapo hapo inaomba Pesa ya usafiri. Midemu ya bongo kueni serious inamaana men wako akiwa hana hela basi nawe huna, 😕😕😧
kwani kenya kuna wanawake?
 
Siku zote kama huna mvuto ww pambana tu nani atakulea kam sura kama ya Moi,
chukua mafano wa wema au huyo UDA japo kafeki sana,,tangai wakiwa 18 mpaka sasa nikipi chamaana kinawaingizia hela kama sio wanaume tu

Sasa wewe mwenznugu unasura kama konono iga ufe
una uthibitisho gani km huda ka fake alafu wema ni natural...hajaongeza chochote
 
una uthibitisho gani km huda ka fake alafu wema ni natural...hajaongeza chochote
wema ni fake mvuta bangi mpaka SAA nyingine kama katuni anavyojiremba. Zamani alikua natural kama katoka Brazil au Colombia sasa kama katoka mexico kwa pabro coba
 
MLETA UZI sijui unafikiria nn ila MIDEMU YA KENYA IPO ADDICTED NA KUFAKE SHEPU ZAO YAANI WENGI SIKU IZI WANA MIZIGOOO BALAAAAA ila sasa MIZIGO (ASS) YSO NI KUPIGA NAYO PICHA instagram tu !! Unalikuta lidada lina MATAKOOO na MSHEPU huoooo lkn USO hamna ALAFU WANA ROHO YAKUKUNJA BALAA KUKUPIGA BISU KWAO NI SEKUNDE TU UKIMZINGUA alafu ss WANAPENDA KUNYONYWA K balaaaaa sample ni ile mashine VERA ilipojitokeza kumlalamikia OT eti awe anampiga deki kabla ya kumchomeka mshipiiiii UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 254444444 mamanziiii ni shidaaaaa
zile manzii ya kenya wanapendanga bobs mingi hata kupiga nduruu inakuwa na mashida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha O.G wa wapi huyu ni msee tu fukanu confused na life acha kumpea cheo
Sasa boy mbona watu wawili mnashindana na me mtu mmoja?? 😂😂😂
Ouk Wewe si kinyozi??
Siwezi kufananishwa na kinyozi! 😂😂

siji tena ongea na huyo aunty wako 😂
🏃 🏃 🏃
 
kweli mazee..mtu anamtusi matusi ya ajab mwanaume mwenzake kisha anajifariji...mi sijaona walai...naanza kuona na wabongo....ila mi nlimpuuza
Naona imekuchoma sana mpaka umemuita bwege mwenzako akufariji! 😂😂
Sasa Mimi na wewe nani alianza kumtukana mwenzake??

Wembe ni ule ule
Unajibiwa kutokana na ulivyokuja.
Na me ndo nilikupuuza coz we ndo ulianza kuni quote! 😂😂

Pole sana siku nyingine usinijaribu.

Anyway umekula?? maana uchelewi kuanza kusema umepanda ndege! 😂😂😂
 
Jifanye jeuri na hata chakula unakula ni made in kenya haha
Mungu wangu!
Popoma la wapi hili 😂😂😂😂
Sasa wale watu kule Turkana vipi?? Au wao ni wakongo!
Huna tofauti na popoma jenzako lile! 😂
Au ndo njaa imetetemesha ubongo 😂😂

Unajibiwa kutokana na ulivyokuja!
 
Pale penye picha munitag, kelele nyingi Tz vs Ky wakati hakuna hata tupicha tumoja...nini hii, how can I prove your words, what is your source, mbona povu kama yote 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️ Kuna ka research umefanya au unatumia hisia zako...za kilevi ...umelewa utaifa....au niambie wa joking....😂...basi sawa ila si vyema.
 
Miss-World-Kenya-Top-10-2.jpg
Miss-World-2017-Is...-Miss-India-Manushi-Chhilar-4.jpg
Nakumbuka mwaka uliopita kwenye Miss World mkenya alipoibuka namba nne duniani kwa urembo na pia akajishindia taji la Miss Afrika. Akawa ndio mwafrika pekee yake kwenye top 5 na top 10 pia. Povu lilitiririka humu kutoka kwa watani wetu hadi jukwaa likang'aa kweli kweli. 😀
Mazee lupita nyonga ni mkeyii manzii anasura mbaya kakomaa kama dume huwezi zania kazaliwa Mexico

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwhyo unajigamba kw mitusi ya ajab...sasawa umeshinda baba...kombe unalo pancho...we ndio ulinipuuza...mimi nina njaa...ndege huaga mwapanda hko kwenu..mimi hupanda kitanda na kulala tu...

shinda hapo sasa
 
Woooi,Africa tuna shida kweli,watu wapo busy hapa kujadili wasichana!eti demu wa kenya vs demu wa Tz😀😀😀😀..msichana ni msichana tu,awe europa,china ama mahala popote pale duniani,cha muhimu ni tabia(character)...hizo zingine zote ni upuzi tu...kwa mfano,unaweza kuoa msichana juu ana sura mzuri na figure mzuri,akipata ajali jee utafanya aje?akichomeka jee hadi hio sura utamuacha ama?hizi ni vitu ambazo watu huwa hawazingatii wakishiriki katika mapenzi.ndio maana ndoa mingi siku hizi zipo na misukosuko na zingine kusambaritika hovyo tu,ndoa ambazo zinadumu na zenye furaha ni zile washiriki wameingiana kitabia,huo muelewano ni muhimu sana,tena looks are deceiving and things are not as they appear to be..hii dunia ni complicated sana.
 
Back
Top Bottom