luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ni mwingi wa rehema atakusamehe. Kama supu ya albino ndio hulainisha sura acha tu ikae.Mungu anisamehe Kenya wanawake sura zao ngumu sana
Why should I??? I can't panic coz of useless thingsUspanic
Wana vidada vizuri lakini si vyote.Halafu ni vichafu kupindukia. Dem anasema anunuliwe chipsi mayai na vidume vyao badala ya always! Anatumia matambara shuleni na kunuka hedhi mchana kutwa.waleteni na madada zenu tuwaone...si eti unasifia wanawake wa bongo wazuri alafu dadako nyumbani anakaa km mjusi...
Why should I??? I can't panic coz of useless things
Ila kuna ka-club kao 8020 wapowapo mademu wazuri kidogo,ila mtaani huko ni shidawew tunazungumzia huku mtaani achana na celebrities, ukikatiza mitaa ya Kenya unaweza kukimbia utasema upo msituni yaani Nyani si Nyani,Ngedere si Ngedere π€£π€£π€£π€£π€£
Kagera ni noma ππππmaskini...hv unanihakikishia kagera pia kuna warembo....hhhhhh....
Kiukweli mimi niliona Kenya na TZ hakuna tofauti sana ingawa kwa idadi ya wasichana wenye sura mbaya Kenya ni wengi zaidi ya TZ,wasomali na waethiopia wanafanya Kenya kuwa na vidada vizuri,pia nadhani wakikuyu kidogo wapo kama waarusha wetundio ukwel huo...kila mtanzania ana ulemavu wa akili...mwenzako huyo kasema kenya kuna mrbo mmoja pekee...je wewe unalichukuliaje hilo swala
HAWACHIWanawake wa Kikenya ni wazuri maajabu haya yaani sura hakuna hata shepu ni tudogo wawili watatu nilikuwa huko mwaka juzi aiseee nilipata tabu unakuta mwanamke anakushangaa.