demu

jaman mwenzenu kila nikitongoza nanyimwa mpaka nimechoka kutongoza na mademu wenyewe nawakalia mbali kweli coz najua hata nikikaanao karibu sipati demu..nifanyeje jaman niweze kupata nimpendaye???

Unajisaidia haja ndogo ukiwa umesiamama au....??!
 
unakaa maeneo gani?tuseme umekosa hata buku mbili?acha utani bwana.mi nacho jua hawa wasichana hawapendi kuchezewa lakini kama unataka wa kuoa wamejaa kila kona.uliza marafiki zako sehemu ya kuoshea bunduki watakuelekeza.au kama vipi nenda pale kwa babu buguruni au sugaray pale sokota.yani hapo ni wewe na kiuno chako tu.usijali kuhusu condom.condom hata kama umechoka watakuvalisha mwenyewe.mia
 
Join Date : 13th September 2011
Posts : 1
Rep Power : 0

unapima upepo
 
Hili jina demu nakumbuka lilishawahileta mjadala mrefu sana hapa!

Sasa ushasema umeshaamua kukaa mbali nao! Tukushaurije tena best? Utumie remote control au?
 

haaah haah haah duh mkuu umetishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…