AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 642
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKumbe wakumbuka yale mazingira tata? kimtindo imesimama...mwambie huyo kitasa awe makini kabla hajatiwa funguo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKumbe wakumbuka yale mazingira tata? kimtindo imesimama...mwambie huyo kitasa awe makini kabla hajatiwa funguo..
acha kuwaita mademu,..utaona matokeo i.e jifunze kuwa msatarabu mkuu.period
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
jaman mwenzenu kila nikitongoza nanyimwa mpaka nimechoka kutongoza na mademu wenyewe nawakalia mbali kweli coz najua hata nikikaanao karibu sipati demu..nifanyeje jaman niweze kupata nimpendaye???
Kwa uzi huu una kila sababu ya kutoswa...
unakaa maeneo gani?tuseme umekosa hata buku mbili?acha utani bwana.mi nacho jua hawa wasichana hawapendi kuchezewa lakini kama unataka wa kuoa wamejaa kila kona.uliza marafiki zako sehemu ya kuoshea bunduki watakuelekeza.au kama vipi nenda pale kwa babu buguruni au sugaray pale sokota.yani hapo ni wewe na kiuno chako tu.usijali kuhusu condom.condom hata kama umechoka watakuvalisha mwenyewe.mia
Hili jina demu nakumbuka lilishawahileta mjadala mrefu sana hapa!
Sasa ushasema umeshaamua kukaa mbali nao! Tukushaurije tena best? Utumie remote control au?
Rev. Sijambo kaka nashukuru. Dah umejuaje ninapenda music?? Hii nimeikubali and I wish ningemjua huyo ulimshirikisha...............halafu hiyo sentensi ya Endapo utasema utakubaliwa dah!!