Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Mr Rocky
nawaombea maisha mema ila ...........
 
Last edited by a moderator:
Slave si unamjua Vin Diesel alivyo mkuu yule ni mharibifu wa hali ya juu

Siwezi mkuu nitajitahidi aise
 
Last edited by a moderator:
Aiseee...!
Inasikitisha sana aisee.
Tumepoteza rafiki yetu, dada yetu kipenzi Dena. Imeniuma sana...hasa nikikumbuka maisha yetu ya chitchat yalivyokuwa.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani.

cc Amyner Baba V Mr Rocky Arushaone BADILI TABIA sweetlady Preta Chocs
 

Mkuu Erickb52 tumempoteza kweli mtu wetu wa karibu na alikuwa wa karibu kweli
One time niliongea nae akiwa anatoka Nairobi anapita Arusha kwenda Dar na maongezi yalikuwa ya utani na kukumbushia mengi ambayo tulikuwa tutananiana chiut chat na MMU na misimamo yake kiujumla na alivyokuwa analiona jukwaa la MMU linavyokwenda
Tutakukumbuka daima Dena Amsi ni njia yetu sote na sisi pia itafika muda wetu tutaungana na wewe katika safari hii
Pumzika kwa amani na Mwanga wa Milele umpe Eee Mwenyezi Mungu.

cc kiwatengu; Watu8; AshaDii, Baba V Arushaone, miss chagga Preta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…