Dena Amsi Banned!

Dena Amsi Banned!

Bia za samaki samaki siziwezi yaani 2 in 1
Taarifa za kintelijinsia zinasema kaomba BAN huyu kiumbe

Nashukuru, lakini taarifa za kiintelijensia bongo huwa zinachakachuliwa pia! hope you are right... atakuwa hajatutendea haki.. without goodbye!
 
Kwani Dena kafanya nini hadi kapewa ban?
 
Hivi huyu ni Dena Amsi au ni Dena mwingine.
Hebu Elia tuambie, hiyo process ya Ban imeanzia wapi.

Huyo huyo Dena Amsi kipenzi cha wengi, nilikuwa shocked sababu mida ya saa nne alikuwa live tano kasoro nikaona BAN.. sijajua iliko anzia mydear, that why ninaomba nipatiwe source ya kilichomsibu, she seemed to be happy at that time...
 
PM yangu ni mageuzi1992@yahoo.com

Naomba maelezo jinsi ya kutuma threads kama watu wengine jf

Naona mkuu upo serious! Nenda kwenye page (jamvi husika) mwanzoni kabisa kabla hujachagua thread ya kusoma, juu utaona maandishi Post new topic .. clic hapo halafu endelea
 
Back
Top Bottom