Dena Amsi Banned!

Dena Amsi Banned!

Kama uko serious nitakutumia maelekezo kwenye PM...aU UNA maana hujawahi kutuma thread kwa DENA AMSI?..u never know na mambo ya naniliu bana!
Confirm kwa pm kama unataka msaada!

Mimi naomba msaada PakaJimmy, wa jinsi ya kutuma PM na kuanzisha thread. Unaweza kuniPM
 
HAMNA haja ya kuambiwa sababu,moderators wanainyosha JF,ikiwezekana piga kwa sana life bans-tunaitaka JF original

hakuna kitu bana ..moderator waonevu sana hawa ..yaani wanafanya kazi kwa majungu na fitna na kusikiliza maneno ya uchochezi....Life Ban kitu gani bana
 
Tulikuwa naye asubuhi, sidhani kama amefanya kosa nahisi ameomba mwenyewe kutokana na majukumu tutazipata tu!
 
Dena Amsi ni nini mama jana mabembelezo yalizidi au ni aje. maana mpaka tumeagana tukabembelezze watu au ni aje?? hujatenda haki kabisa mwana zambe azalaki se hawa
 
Huyo Dena Amsi aje saa hizi kulogin na aeleze kwa nini amepewa ban, kuliko awaache watu waendelee kujiuliza. Hata hivyo mimi ndo najua leo kwamba kuna hiyo ID humu.
 
Gooosh!...
I cant believe this!

Huu purely ni MSIBA kwa JUKWAA LA MMU!


Thread hii itawakusanya members wote waaminifu wa JUKWAA LILE!...huh!

what is t that u kant believ, hivi we jamaa upoje!!
 
hakuna kitu bana ..moderator waonevu sana hawa ..yaani wanafanya kazi kwa majungu na fitna na kusikiliza maneno ya uchochezi....Life Ban kitu gani bana

Labda Dena Amsi alikuwa hataki kujibu PM ya MODULATOR (sijakosea kuandika)
 
Nilidhani ni manjonjo ya hili jukwaa. Kala BAN?! Yaani mi na ununda wangu wote sijawahi kula ban, sasa huyu dada 'mtakatifu' kaharibu hivyo?
:A S-confused1:
 
Nilidhani ni manjonjo ya hili jukwaa. Kala BAN?! Yaani mi na ununda wangu wote sijawahi kula ban, sasa huyu dada 'mtakatifu' kaharibu hivyo?
:A S-confused1:

Raia, Hilo ndio swali linalo niumiza kichwa ma Nunda kibao humu....
 
Mngetumia kurasa hizo na muda kujadili maendeleo tungekuwa mbali.....hivi kwanini wanaJF mu wajinga?????
 


KATAVI NIKITAKA KUMUONA HUYU HIVYO HIVYO ALIVYO NIJE WAPI??????
Imebidi nimtoe baada ya Dena Amsi leo asubuhi kabla hajala ban kulalamika kuwa anamtisha!! Huyu haonekani live ana hasira sana akiwaona binadamu ambao hajawazoea!
 
Back
Top Bottom