Muinjilisti
Senior Member
- Dec 20, 2010
- 105
- 53
Kama uko serious nitakutumia maelekezo kwenye PM...aU UNA maana hujawahi kutuma thread kwa DENA AMSI?..u never know na mambo ya naniliu bana!
Confirm kwa pm kama unataka msaada!
Mic you Dena
mimi naomba msaada pakajimmy, wa jinsi ya kutuma pm na kuanzisha thread. unaweza kunipm
HAMNA haja ya kuambiwa sababu,moderators wanainyosha JF,ikiwezekana piga kwa sana life bans-tunaitaka JF original
Tutajie JF original tuwapongeze, na feki wajulikane kabisaHAMNA haja ya kuambiwa sababu,moderators wanainyosha JF,ikiwezekana piga kwa sana life bans-tunaitaka JF original
Kheeee KheeeeTutajie JF original tuwapongeze, na feki wajulikane kabisa
Ngumu kumesa hii feki na orijinoTutajie JF original tuwapongeze, na feki wajulikane kabisa
Samahani mkuu,unamaanisha nini hapa!!:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:
Gooosh!...
I cant believe this!
Huu purely ni MSIBA kwa JUKWAA LA MMU!
Thread hii itawakusanya members wote waaminifu wa JUKWAA LILE!...huh!
hakuna kitu bana ..moderator waonevu sana hawa ..yaani wanafanya kazi kwa majungu na fitna na kusikiliza maneno ya uchochezi....Life Ban kitu gani bana
Imebidi nimtoe baada ya Dena Amsi leo asubuhi kabla hajala ban kulalamika kuwa anamtisha!! Huyu haonekani live ana hasira sana akiwaona binadamu ambao hajawazoea!