Ninaamini Mr Rocky umeona ombi la kisheria toka kwa Mamndenyi kwamba usilitaje jina lake tena hapa.. Ukithubutu kuvunja ombi hilo la kisheria hatua kali zitachukuliwa dhidi yako..
Hapa itabidi upate msaada wa kisheria toka Ruttashobolwa ikiwa hatatii..
nakupenda hicho hicho

Wewe usitake kunichafua tafadhali....nasikia upo kwenye ndoano/ndoa
View attachment 96591
Utani gani huo babe Paloma..? Utaniua ujue.. ona sasa mpaka saudari kanifotoa wakati nimepagawa..
hahahahaa pole jamani kipenzy......sikujua kama hutaniwagi ujue!!! it wont happen again si unajua....!!!
afu babe kampuni ile ya sekyuriti uliyonifungulia imepata tenda kwa investaz kutoka sauzi.......so jiandae kwa safari, maana tunaenda kupumzika Florida Hills!
usijali my dear dada....wajua yote ni mapito tu na hapo ndio unaweza sema kuwa umeexperience!!!
ujichafue mwenyewe useme wengine.......utajipakata!!!! loooh nipishe mie!!!
Bwana Van dame tafadhali.. Paloma ni waifu wangu mbinguni na duniani.. Najua wewe ni bingwa wa karate na kungfu.. Ila kwenye mahaba mie ni bingwa wa mapanga na silaha za kikemikali..